Monday, March 21, 2011

Familia ya Mzee CHIFUPA yapata pigo lingine - Mama wa amina afariki dunia


Mama Amina akisindikizwa na rafiki yake katika mazishi ya amina

Familia ya Mzee Chifupa imepata pigo lingine usiku wa kuamkia jana baada ya mama yake mzazi Marehemu Amina Bi Judy Mbaga kufariki dunia . Chinga2010 inawapa pole wanafamilia wote katika kipindi hiki kipindi

Bwana alitoa Bwana alitwaa Jina la Bwana lihidimiwe

No comments:

Post a Comment

Angalia Jina lako kwa Kijapani hapa

Kuhusu Mimi

Dar es Salaam, Tanzania
There was an error in this gadget

Fashion Trends

Fun photos